Uplifting Swahili Worship song Kenya 2020 Miguuni Pako | Timothy Mbendo

Please subscribe if you haven’t. Wimbo wa kumtumainia Kristu hasa wakati huu mgumu wa janga la Covid 19. This Music Video was created just before the Corona Virus hit Africa, so don’t be surprised if you don’t see social distancing. Mungu akubariki wewe na familia yako unaposkiza wimbo huu, na akuelekeze vyema kwa shughuli zako na mahitaji yako yote. Amina. LYRICS: Ninasogea mimi, Miguuni pako Nikuabudu Yesu, uweponi mwako kinyua changu kiwe chombo cha ibada ibada zangu Bwana uzikubali (Ninasogea) Ninasogea mimi, Miguuni pako Nikuabudu Yesu, uweponi mwako kinyua changu kiwe, chombo cha ibada ibada zangu Bwana uzikubali .........................x2 (Hallelujah) Imani iliyo ya kwako, yanitosha mimi Imani iliyo ya kwako, yanitosha mimi upendo wako usio na kipimo ulinichagua mimi upendo wako usio na kipimo ulinichagua mimi wewe ni shujaa, ulinzi wako ni tosha wewe ni shujaa, ulinzi wako wanitosha na kama ni ukombozi, mimi apa nashuhudia x3 VIDEO PRODUCTION: Keyame Media Director of Photography: Ayoti Clin
Back to Top