Swahili Lullaby, Lala Kitoto
Lala mpendwa, wimbo wa kumbembeleza mtoto hadi alale, lugha inayotumika ni kiswahili, Tanzania kwa watoto wote wanaopenda kiswahili.
Lala kitoto lala x2
Sinzia sinzia lala kitoto lala.
Lala mpendwa lala x2
Sinzia sinzia lala mpendwa lala.
Lala mpendwa jua limeshazama x2
Lala kitoto lala x2
Sinzia sinzia lala kitoto lala.
Lala mpendwa lala x2
Sinzia sinzia lala mpendwa lala.
Lala kitoto ndege wameshalala x2
Lala kitoto lala x2
Sinzia sinzia lala kitoto lala.
Lala mpendwa lala x2
Sinzia sinzia lala mp