Kenya kutoshiriki kwenye michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi mwaka huu

Kenya haitawakilishwa katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi mwaka huu inayotarajiwa kuandaliwa tarehe 4 hadi 20 mwezi ujao jijini Beijing, Uchina. Haya yalithibitishwa na kamati ya Kitaifa ya Olimpiki ya Kenya ;NOCK ambayo ilisema kwamba wanariadha watatu ambao walikuwa wamepangwa kushiriki katika Michezo hiyo walikosa kuheshimu hafla za kufuzu kwa sababu ya vizuizi vya kusafiri vilivyoletwa na mkurupuko wa virusi vya COVID-19. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: Follow us on Twitter: Find us on Facebook: Check our website: #KBCsports #NOCK #WinterOlympics
Back to Top